Facebook Ilipoteza Zaidi ya Milioni 800 Ndani ya Dakika 30!
Siku ambayo mtandao wa Facebook ulipata itirafu na watu kutoweza kuingia kwenye akaunti zao, maarafu kwa kizungu kama ‘outage’. Je wewe uliathirika kipesa?Jibu litakuwa hapana, Facebook ndio waliopata hasara kwani kwa muda huo wa takribani dakika 30 walipoteza pato la takribani dola laki 5 za kimarekani, ambayo ni takribani Tsh 841,750,000/=...
adsfdsfd
No comments:
Post a Comment